Chui Forums 12+

Magofarm LTD

Designed for iPad

    • Free

Screenshots

Description

Mafanikio yanahitaji kujifunza pasipo na kikomo. Chui ni jukwaa mahususi la kukupa maarifa ya kukuwezesha kupiga hatua kitaalamu na katika maisha yako binafsi. Pakua programu ya Chui leo kujenga ujuzi katika mada mbalimbali kama ujasiriamali, biashara, uchumi, burudani, teknolojia, urembo, ufugaji na nyingine nyingi zaidi. Chota maarifa kutoka kwa wataalamu waliofanikiwa zaidi katika fani zao. Andaa maisha yako ya baadaye kwa mafunzo ya mtandaoni ambayo hutoa ustadi wa kiutendaji, wa kitaalam na katika maisha binafsi. Karibu ujifunze nasi, kidigitali zaidi.

What’s New

Version 7.5

Pakua mtandao wa Chui leo kujenga ujuzi katika mada mbalimbali kama ujasiriamali, biashara, uchumi, burudani, teknolojia, urembo, ufugaji na nyingine nyingi zaidi. Chota maarifa kutoka kwa wataalamu waliofanikiwa zaidi katika fani zao. Andaa maisha yako ya baadaye kwa mafunzo ya mtandaoni ambayo hutoa ustadi wa kiutendaji, wa kitaalam na katika maisha binafsi. Karibu ujifunze nasi, kidigitali zaidi.

App Privacy

The developer, Magofarm LTD, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy.

Data Linked to You

The following data may be collected and linked to your identity:

  • Contact Info
  • User Content

Privacy practices may vary, for example, based on the features you use or your age. Learn More

You Might Also Like

To Do List Task Manager App
Productivity
Norrsken House Stockholm
Productivity
French Translator Offline
Productivity
OpenChat : AI Chatbot
Productivity
RushFiles
Productivity
Flexcil for Education
Productivity