Twenzao 4+

Amos Mushumbusi

Entwickelt für iPhone

    • 5,0 • 4 Bewertungen
    • Gratis

iPhone-Screenshots

Beschreibung

Umewahi kuwa unaendesha gari binafsi ukiwa na siti tupu ukatamani ungepata abiria wa kukuchangia gharama za mafuta?
Umewahi kuachwa na basi ukatamani ungeweza kupata usafiri wa gari binafsi kwa namna rahisi na kwa bei isiyozidi ya basi?

Jibu lako ni "Twenzao", app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako. Hakuna makato yoyote kutumia app ya Twenzao, anacholipa abiria ndicho anachopata dereva.

Twenzao inakuhakikishia usalama wako, taarifa za wasafiri wote tunazo, wawe ni madereva au abiria, na pia app ya Twenzao inakusanya taarifa kuhusu safari yenu, kwa mfano mahali mlipo.

Faida za Twenzao kwa ufupi:
- Starehe ya gari binafsi kwa bei nafuu isiyozidi ya basi.
- Safiri salama na watu ambao taarifa zao zimehakikiwa na safari yenu inatambulika.
- Kwepa usumbufu wa madalali.
- Anza safari muda wowote, sio lazima alfajiri kama ilivyozoeleka.
- Pata safari hata kwenda kwenye vijiji ambapo mabasi hayasimami.
- Kuwa huru kusimama au kutosimama safarini kuendana na makubaliano yenu mnaosafiri.

Twenzao, safiri salama kwa bei nafuu.

Neuheiten

Version 23.0

Fixed issues with Facebook login.

Bewertungen und Rezensionen

5,0 von 5
4 Bewertungen

4 Bewertungen

shheip ,

User friendly, secured and helpful!

For starters, the app is extremely user friendly, easy to navigate around and get exact information I’m looking for. Nafurahia ujio wa app hii, nadhani itanisaidia sana mimi ninaye piga safari mara kwa mara kwa gari langu, angalau nitapata kuchangia gharama za mafuta na watu wengine. Very helpful👌🏾 #twenzaooo...imeisha hiyooo!!!

Entwickler-Antwort ,

Ubarikiwe, maneno yako yanatupa nguvu ya ajabu!

ronny_#%2 ,

Perfect and user friendly

Very user friendly! Nimefurahi kuweza kupata app kama hii ambayo itanisaidia mimi kuweza kufanya safari zangu kiurahisi zaidi!

Entwickler-Antwort ,

Nasi tumefurahi kuwa nawe!

Boni01 ,

Best App

I love this app, I thought it would be maybe little bit complicating but it’s actually easy to use and it’s helpful too.Big up!!

Entwickler-Antwort ,

Big up to you!!

App-Datenschutz

Der Entwickler, Amos Mushumbusi, hat darauf hingewiesen, dass die Datenschutzrichtlinien der App den unten stehenden Umgang mit Daten einschließen können. Weitere Informationen findest du in den Datenschutzrichtlinien des Entwicklers.

Mit dir verknüpfte Daten

Die folgenden Daten werden möglicherweise erfasst und mit deiner Identität verknüpft:

  • Finanz­informa­tionen
  • Kontakt­informa­tionen
  • Kennungen

Die Datenschutzpraktiken können zum Beispiel je nach den von dir verwendeten Funktionen oder deinem Alter variieren. Weitere Infos

Das gefällt dir vielleicht auch

Napa Mobile App
Navigation
Safiri - Plan Trip, Buy Ticket
Reisen
Flightlink
Reisen
Twende
Navigation
Suka
Reisen
Twende dereva
Navigation