Description

Programu pekee ambayo inajua ambapo gari yako iko, hata kama haujui.

Mara ngapi umejiuliza: “wapi nimeegesha gari langu?”. Ukitumia Tafuta gari hauta wahi kuuliza swali hili tena! Tafuta gari ina rekodi eneo la egesho lako MOJA KWA MOJA, wakati wowote ukiegesha gari lako. Ndiy, umevisoma haki, moja kwa moja! Hakuna Buttons (mabuto) kusukuma (kubonyeza) au nyongeza nyingine zaidi, kama ilivyo katika programu (Apps) za kawaida. Na kwa sababu haina kutegmea GPS, hauwezi hata taarifa inatumia betri ya simu yako!

Tafuta gari ina tumia state-of-the-art Artificial intelligence patent pending technolojia kuchunguza na kurekodi maegesho ya eneo lako wakati wowote uki egesha gari lako, bila hatua yoyote inahitajika kwa upande wako.Kitu pekee una faa kufanya ni kuzindua programu, na itakuwa bado ipo kwa nyuma (kwenye background) na ikifanya kazi yake.Kama umesahau ambapo uli egesha gari lako, na una jiuliza “gari langu likowapi?”- angaria Tafuta gari, na itakupa jibu la hili swali. Programu inakuezesha kuona matukio ya maegesho kwa BURE na inatoa $1.99 katika programu ya wakati mmoja-inaboresha na kuonesha maegesho ya matukio yalio pita.

Unacho faa kufanya kufulahiaTafuta gari ni:

1. Weka iPhone->Mazingira au Settings->Ujumla au General->background App Refresh->ON
2. Weka iPhone-> Mazingira au settings->Faragha au Privecy-> Huduma za eneo->ON
3. Kuzindua programu! (Inafanya kazi kwenye background ikipunguzwa)

Hayo ni yote.Hakuna mambo yakutafuta gari lako tena. Hakuna kubonyeza mabuto, hakuna hassle.Tafuta gari inachunguza eneo la maegesho na ukamilishi moja kwa moja. Na haiwezi kutuma data kwa mtu yeyote, hivyo siri yako ni kamilifu.

Tafuta gari ni jibu rahisi na ni ufanisi wa swali ya tatizoìgari langu liko wapi?î tatizo lime tatuliwa jumla kwa jumla.

+Inafanya kazi kwenye iPhone 4, 4s, 5, 5s, 5c, 6, 6Plus
+Inafana kazi kwenye iOS 7.1 au mpya

+Works on iPhone 4, 4s, 5, 5s, 5c, 6, 6Plus
+Works on iOS 7.1 or newer

Kanusho: Kuendelea kutumia GPS ikifanya kazi (kwene background) inaweza kupunguza betri ya simu.
Disclaimer: Continued use of GPS running in the background can dramatically decrease battery life.

What’s New

Version 2.1.0

Njia tofauti za kuonyesha matukio ya kuegesha ambayo yaliogunduliwa na kutojiaminia kwa chini sasa yanaweza chaguliwa kwenye ukurasa wa mazingira Setting page
Fursa ya uhariri meza ya matukio imekuwa aliongeza Kufuatia maombi mengi kutoka kwa watumiaji.
Kuboreshwa ushirikiano na Apple Watch.
Mpya, kuboresha graphics.
Bugfixes na typo marekebisho.

Information

Provider
GeniusApps Technologies, LLC
Size
6.9 MB
Category
Navigation
Compatibility

Requires iOS 7.1 and watchOS 2.0 or later. Compatible with iPhone, iPad and iPod touch.

Languages

English

Age Rating
4+
Location
This app may use your location even when it isn't open, which can decrease battery life.
Copyright
Price
Free
In-App Purchases
  1. Tafuta gari - Toleo Kamili £1.99

Supports

  • Family Sharing

    Up to six family members will be able to use this app with Family Sharing enabled.

More By This Developer

You May Also Like