Bezaleli 4+

Kanisa Kiganjani

Tanzania Assemblies of God

Designed for iPhone

    • Free

iPhone Screenshots

Description

Bezaleli ni mtandao unoliunganisha Kanisa la TAG kuanzia ngazi ya washirika, wachungaji, Kanisa la mahali pamoja, sehemu (section), majimbo, kanda hadi Kanisa la Taifa.

Mawasiliano

Bezaleli inarahisisha upatikanai wa taarifa rasmi za Kanisa kwa washirika na wachungaji katika ngazi zote.

Makusanyo

Ukusanyaji na utawanyaji wa Sadaka na Matoleo katika kanisa la TAG umerahisishwa hivyo kuongeza uwajibikaji katika ngazi zote. Bezaleli inakusaidia kuweza kupata namba za kumbukumbu za malipo (Control Numbers) kwa ajili ya kuwasilisha malipo.

Takwimu

Pata takwimu za fedha na mpango mkakati zitakazosaidia kufanya maamuzi katika ngazi zote za Kanisa.

What’s New

Version 1.2

- Usajili wa kamati za idara katika ngazi ya jimbo na sehemu unawezekana kupitia Bezaleli App
- Usajili na uthibitisho wa akaunti za benki za majimbo na sehemu na idara zote unawezekana kupitia Bezaleli App

App Privacy

The developer, Tanzania Assemblies of God, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy.

Data Linked to You

The following data may be collected and linked to your identity:

  • Contact Info
  • User Content
  • Identifiers

Data Not Linked to You

The following data may be collected but it is not linked to your identity:

  • Diagnostics

Privacy practices may vary based on, for example, the features you use or your age. Learn More

More By This Developer

You Might Also Like

FixChap
Utilities
Smart EFD v2
Utilities
BOOKKEEPA™ Lite
Utilities
Time to Pray - Guided Prayer
Utilities
People Counter for Limits Pro+
Utilities
Aqvify
Utilities