Tunzaa 4+

Tunzaa Fintech Inc.

Proiectată pentru iPhone

    • Gratuit

Capturi de ecran iPhone

Descriere

Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako.

BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.

Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.

FUATILIA MALIPO YAKO

Tunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari.

JIPIMIE

Kuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Tunzaa.

TAFUTA

Urahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka.

UJUMBE

Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.

MALENGO

Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.

MATUMIZI

Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.

ZAWADI

Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.

Noutăți

Versiune 1.0.3

- Watumiaji sasa wanaweza kuongeza au kupunguza idadi ya bidhaa kwenye kikapu
- Ujumuishaji wa moja kwa moja kwa malipo ya oda kutumia Vodacom M-Pesa
- Picha zimeboreshwa kwa utendaji bora
- Uboreshaji wa ukumbusho wa malipo ya malengo kwa wateja

Confidențialitatea aplicației

Dezvoltatorul, Tunzaa Fintech Inc., a indicat că practicile de confidențialitate ale aplicației pot include gestionarea datelor conform descrierii de mai jos. Pentru informații suplimentare, consultați politica de confidențialitate a dezvoltatorului.

Date care nu sunt colectate

Dezvoltatorul nu colectează niciun fel de date din această aplicație.

Practicile de confidențialitate pot varia, de exemplu, în funcție de funcționalitățile pe care le utilizați sau de vârsta dvs. Aflați mai multe

Mai multe de același dezvoltator

S-ar putea să vă placă și

Swahilies
Cumpărături
KariakooMall
Cumpărături
Inalipa
Cumpărături
Sarafu
Cumpărături
ChapChap App
Cumpărături
Jiji Tanzania
Cumpărături