SAMIA App 17+

ZAKAYO KISHIWA

Designad för iPad

    • Gratis

Skärmavbilder

Beskrivning

ni mfumo maalum unamsaidia mwananchi wa Tanzania pamoja na Waliopo nje ya Nchi kupata habari na matukio mbalimbali yanayohusu Nchi yake pamoja na Rais wake wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia programu tumizi hii mwananchi atapata fursa ya kushiriki kwenye maudhui mbalimbali pamoja na matukio yanayoendelea kwenye taifa letu la Tanzania.

Aidha kupitia Samia App kuna Moduli mbalimbali zikiwemo Habari na Matukio, Simulizi, Balozi wa Samia, Samia Jamii, Samia Room, Wasifu wa Samia, Makala, Maoni, Shiriki Kwenye Ilani, Kero ambapo kupitia Samia App mwananchi atakuwa na uwezo wa Kutuma na Kufatilia Kero yake kupitia Simu yake ya Kiganjani.

Nyheter

Version 1.1.1

*Habari na Matukio mbalimbali kuhusu Maendeleo ya Tanzania
*Shiriki Kutoa maoni kwenye ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2030
*Shiriki Mashindano mbalimbali kwenye Balozi wa Samia kwa kusambaza na kulike taarifa za matukio ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
*Mjue Samia kwa kusikiliza wasifu wake, ziara, Hotuba mbalimbali za matukio ya kila siku
*Kuwa wa kwanza kutuma taarifa za maendeleo kwenye eneo lako uoneshe namna serikali ya awamu ya Sita inavyoleta maendeleo kwa wananchi wake.

Appintegritet

Utvecklaren ZAKAYO KISHIWA har angett att appens integritetsrutiner kan inkludera hantering av data enligt beskrivningen nedan. Det finns mer information i utvecklarens integritetspolicy.

Data som är kopplade till dig

Följande data kan komma att samlas in och kopplas till din identitet:

  • Kontakt­information

Sekretessriktlinjer kan variera, till exempel utifrån de funktioner du använder eller din ålder. Läs mer

Mer från den här utvecklaren