Tunzaa Plus 4+

Tunzaa Fintech Inc.

專為 iPhone 設計

    • 免費

iPhone 截圖

簡介

Jiunge na Tunzaa+ uweze kufikia mtandao wa wanunuzi ambao hutumia pesa kila siku kununua bidhaa na huduma moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara kama wewe.

Ongeza mauzo kwa kuwapa wateja wako uwezo wa kununua kile wanachokihitaji kwa kulipia kwa awamu hadi watimize malipo yao.

ONGEZA THAMANI

Rahisi & salama. Malipo yanatumwa kwako mfanyabiashara na hakuna malipo ya ziada ya kila mwezi.

KUZA BIASHARA

Ongeza mauzo yako kwa kufikia mtandao wa wanunuzi ambao wanafurahia kufanya manunuzi kutimiza malengo na mipango yao.

ORODHESHA BIASHARA YAKO BURE

Orodhesha bidhaa na huduma zako zote bure - utalipa ada tu ikiwa utauza kupitia Tunzaa.

UDHIBITI

Kupitia Tunzaa unaweza kufatilia oda za wateja wako, bei na kuweka bidhaa mpya kila upendavyo.

USALAMA WA MALIPO

Tunzaa inakuhakikishia usalama wa malipo kutoka kwa wateja wako.

USAIDIZI NA USHAURI

Tumejitolea kusaidia washirika wote wa biashara kufanikiwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi na msaada wa jinsi ya kufaidika na Tunzaa.

新內容

版本 1.3.2

Tunayo furaha kubwa kutangaza toleo jipya la programu ya Tunzaa Plus, lililoboreshwa ili kukupa uzoefu bora zaidi. Hivi ndivyo unavyoweza kutarajia:

A. MABORESHO
1. Uboreshaji wa uthibitisho
2. Uboreshaji wa utendaji

B. MAREKEBISHO YA HITILAFU
1. Hitilafu za kupakia bid

Tunajitahidi kufanya Tunzaa Plus kuwa bora zaidi, na maoni yako ni muhimu sana kwetu. Furahia vipengele na maboresho haya mapya.

App 隱私權

開發者「Tunzaa Fintech Inc.」指出 App 的隱私權實務可能包含下方描述的資料處理。如需更多資訊,請參閱開發者的隱私權政策

會與你連結的資料

系統可能會收集以下資料,並將其與你的身分連結:

  • 聯絡資訊

隱私權實務可能因你使用的功能或你的年齡等因素而有所不同。進一步瞭解

更多此開發者的作品

你可能也會喜歡

Inalipa
購物
Sanga Kariakoo
購物
Deba
購物
Swahilies
購物
Nida & Danish
購物
Focuspharmatz
購物