Napa Mobile App 4+

Ministry of Information, Communication and Information Technology

Designed for iPad

    • Free

Screenshots

Description

Sasa unaweza kuwa mwenyeji wa mahali usipopajua kirahisi sana. Pata uelekeo wa anwani husika unayotaka kwenda kwa urahisi zaidi ukiwa na simu janja mkononi mwako. Pitia kupitia programu tumizi hizi utaweza kufahamu hudama mbalimbali ziilizopo karibu yako mpaka zile huduma ndogo ndogo kama vile maduka, wakala n.k,

What’s New

Version 1.0.8

Maboresho mapya
1.Barua ya utambulisho kutoka NaPA sasa inapatikana kwenye app ya NaPA

Ratings and Reviews

4.2 out of 5
6 Ratings

6 Ratings

emma20@ ,

Emmanuel

App imekaa vizuri. Changamoto iliyopo ni mfumo mgumu wa jinsi ya kuongeza Anwani ambayo haionekani/Haipo. Kwenye Google Map kuna mahali pa kuongeza sehemu “Add place”. Huku kwenye hii App haipo.

Nashauri muweke njia rahisi ya jinsi ya kuongea Maeneo ambayo kwenye Anwani hayaonekani. Na kama njia ya watu kuongeza wao wenyewe itaonekana ina mapungufu basi ni vema mkaweka njia ya jinsi ya kutuma sehemu ambazo hazionekani ili mzihakiki kwanza kabla ya kuanza kuonekana kwenye hii App.

Ni vema pia kama mtaweka sehemu ya kutoa mapendekezo ya kubadili sehemu. Mfano: Kwenye mtaa wangu mimi, kuna majina yamekosewa humu kwenye App tofauti na yanavyoitwa kiuhalisia. Sehemu kama MCHUNGWANI unakuta imeandikwa MCHUNGANI na hakuna sehemu ya “Suggest Edit”.

Otherwise, Hongereni kwa kazi nzuri.

App Privacy

The developer, Ministry of Information, Communication and Information Technology, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy.

Data Not Collected

The developer does not collect any data from this app.

Privacy practices may vary based on, for example, the features you use or your age. Learn More

You Might Also Like

Twenzao
Travel
Safiri - Plan Trip, Buy Ticket
Travel
Flightlink
Travel
GeoGps
Travel
Twende
Navigation
Marangu Coach - Ticket Booking
Travel