Tenzi Za Rohoni 4+

Justin Bulenga

    • 9,900.00 TZS

Description

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.

• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwa
utukufu wa Mungu.

What’s New

Version 2.8

-Imeboresha muonekano
-Imeongeza kubadili lugha ya programu kuwa kiingereza

Ratings and Reviews

4.0 out of 5
2 Ratings

2 Ratings

mlubango ,

Mr.

Mungu akubariki kwa kazi nzuri sana maana inatoa muongozo mzuri japo kuna maboresho ya kufanya kwenye baadhi ya nyimbo mfano wimbo namba 144 haujakamilika na kuna nyingine zinamakosa ya kiuandishi.

App Privacy

The developer, Justin Bulenga, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy.

Data Not Collected

The developer does not collect any data from this app.

Privacy practices may vary based on, for example, the features you use or your age. Learn More

Supports

  • Family Sharing

    Up to six family members can use this app with Family Sharing enabled.

More By This Developer

You Might Also Like

Biblia ya kiswahili | Swahili
Reference
CCM_APP
Reference
eMrejesho
Education
TaxAccounts 24/7
Education
Hakiki Stempu
Reference
Sheria Kiganjani
Education