Tunzaa Plus 4+

Tunzaa Fintech Inc.

Designed for iPhone

    • Free

iPhone Screenshots

Description

APP YA WAFANYABIASHARA

Jiunge na Tunzaa+ uweze kufikia mtandao wa wanunuzi ambao hutumia pesa kila siku kununua bidhaa na huduma moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara kama wewe.

Ongeza mauzo kwa kuwapa wateja wako uwezo wa kununua kile wanachokihitaji kwa kulipia kwa awamu hadi watimize malipo yao.

ONGEZA THAMANI

Rahisi & salama. Malipo yanatumwa kwako mfanyabiashara na hakuna malipo ya ziada ya kila mwezi.

KUZA BIASHARA

Ongeza mauzo yako kwa kufikia mtandao wa wanunuzi ambao wanafurahia kufanya manunuzi kutimiza malengo na mipango yao.

ORODHESHA BIASHARA YAKO BURE

Orodhesha bidhaa na huduma zako zote bure - utalipa ada tu ikiwa utauza kupitia Tunzaa.

UDHIBITI

Kupitia Tunzaa unaweza kufatilia oda za wateja wako, bei na kuweka bidhaa mpya kila upendavyo.

USALAMA WA MALIPO

Tunzaa inakuhakikishia usalama wa malipo kutoka kwa wateja wako.

USAIDIZI NA USHAURI

Tumejitolea kusaidia washirika wote wa biashara kufanikiwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi na msaada wa jinsi ya kufaidika na Tunzaa.

What’s New

Version 1.3.1

What's new:

- Fixed text inputs visibility bug.
- Added password input visibility toggle.
- Streamlined business registration with license uploads.
- Improved product upload process.
- Enhanced orders visibility with pagination.
- Account deletion with clear user instructions.

Nini kipya:

- Hitilafu ya mwonekano wa maingizo ya maandishi imerekebishwa.
- Kigeuzi cha mwonekano wa maandishi ya nywila.
- Usajili wa biashara uliorahisishwa kukiwa na upakiaji wa leseni.
- Mchakato wa kupakia bidhaa umeboreshwa.
- Mwonekano wa oda ulioimarishwa kwa kutumia kurasa.
- Ufutaji wa akaunti ukitumia maagizo wazi ya mtumiaji.

App Privacy

The developer, Tunzaa Fintech Inc., indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy.

Data Linked to You

The following data may be collected and linked to your identity:

  • Contact Info

Privacy practices may vary, for example, based on the features you use or your age. Learn More

More By This Developer

You Might Also Like

Inalipa
Shopping
Swahilies
Shopping
Sanga Kariakoo
Shopping
Deba
Shopping
Inino Store
Shopping
Nida & Danish
Shopping