Twende

Navigation

Free · Designed for iPad. Not verified for macOS.

Mpya: Pata boda, bajaji au gari ndani ya app. Agiza maji kwa bowser, tuma kifurushi, na ulipe kwa mkoba wako wa Twende. Omba usafiri upate dereva ndani ya dakika chache kupitia Twende. Tunakupa chaguo la usafiri wa aina tatu, Gari , Bajaj au Bodaboda, yoyote inayokidhi haja yako. 1. Pakua 'Twende' bure, kisha kamilisha usajili 2. Twende ina uwezo wa kutambua eneo ulilopo, kazi yako ni kutaja unapotaka kwenda, kisha uanze kuomba usafiri 3. Unaweza kuangalia eneo alilopo dereva na kadri anavyo kukaribia ,utaweza kutulia na kufurahia safari yako! 4. Mwisho wa safari utaweza lipa nauli yako. Kwa taarifa zaidi tembelea www.twende.co.tz

  • This app hasn’t received enough ratings or reviews to display an overview.

USAFIRI Piga boda, bajaji au gari moja kwa moja kwenye app. Unaweza kutaja unapokwenda hata wakati gari bado linakutafuta. Skrini ya kusubiri sasa inaonesha muda uliopita na njia ya kughairi, na safari ikiisha unaona ramani ya njia iliyopita. MAJI Agiza maji kwa bowser ukitaja lita na bei unayotaka. Oda kubwa kuliko bowser moja inagawanywa na kuoneshwa kama safari zaidi ya moja, ili ujue kila gari linaleta kiasi gani. Sasa unaweza kulipa papo hapo kutoka kwenye mkoba wako. MIZIGO Waybill inapatikana kwenye simu yako na unaweza kuishiriki kama karatasi yenyewe. Safari moja ya eGuta sasa inaweza kuchukua mizigo ya maduka kadhaa. MALIPO Njia ya kulipa inaendana na huduma husika, na taslimu haioneshwi pale ambapo haikubaliki. Tigo Pesa sasa inaitwa Mixx by Yas. Pamoja na marekebisho ya kasi na uthabiti.

The developer, Twende Technologies Ltd, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy .

  • Data Used to Track You

    The following data may be used to track you across apps and websites owned by other companies:

    • Usage Data
  • Data Not Linked to You

    The following data may be collected but it is not linked to your identity:

    • Location
    • Contact Info
    • Usage Data
    • Diagnostics

Privacy practices may vary, for example, based on the features you use or your age. Learn More

The developer has not yet indicated which accessibility features this app supports. Learn More

Seller
Twende Technologies Ltd
Size
42.9 MB
Category
Navigation
Compatibility
Requires iOS 15.0 or later.
  • iPhone
    Requires iOS 15.0 or later.
  • iPad
    Requires iPadOS 15.0 or later.
  • iPod touch
    Requires iOS 15.0 or later.
  • Mac
    Requires macOS 12.0 or later and a Mac with Apple M1 chip or later.
  • Apple Vision
    Requires visionOS 1.0 or later.
Languages
English
Age Rating
4+
Copyright
© Twende Technologies Ltd 2022 - All rights reserved