NJIIMNET
The car network
Only for iPhone
Free · Designed for iPhone. Not verified for macOS.
Uza, nunua, na agiza gari kijanja.
Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengenezea njia rahisi zaidi.
Kama unataka kununua au kuagiza gari, NJIIMNET inakusaidia ku-:
- Jua bei halisi ya gari kuendana na mwenendo wa soko
- Nunua kwa bei ya haki
- Okoa muda & nguvu
- Pokea ofa nyingi kutoka kwa wauzaji
- Linganisha bei kirahisi
- Kwepa kulipa zaidi
Kama muuzaji, NJIIMNET inakusaidia ku-:
- Pata wateja wenye uhitaji
- Uza bila kufanya matangazo
- Fikia mteja sahihi katika muda muafaka
- Jua bajeti ya wateja kabla hata hujaongea nao
- Pata wateja bure
- Chagua ulipe kamisheni au la
- Lipia kamisheni utakapouza gari tu
- Uza haraka zaidi
- Pata taarifa za muhimu za wateja kabla ya kulipia chochote
NJIIMNET unganisha moja kwa moja na wanunuzi na wauzaji wa magari, huku ikihakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.
more Tunajali mazingira. Tunajali kizazi cha kesho.
Kila tunachofanya NJIIMNET, tunaamini katika kuinua Afrika yetu. Kwa kukusaidia kujua ni brand gani zina magari ya umeme na hybrid, tunachangia katika kutunza na kuhifadhi mazingira yetu kwa pamoja.
5.6.3 Jun 27
Tunajali mazingira. Tunajali kizazi cha kesho.
Jukumu la kutunza na kuhifadhi mazingira ni letu sote. Tunawashukuru kwa kuungana nasi katika safari yetu ya kufanya soko letu la magari kuwa na ufanisi bora, lenye ukweli na uwazi, na linalozingatia utunzaji wa mazingira.
5.6.2 Jun 14
GHARAMA ZA KUMILIKI GARI
Tulianza kwa kurahisisha kujua bei ya gari kuendana na mwenendo wa soko.
Kisha tukakuwezesha kufahamu gharama za kuendesha gari kutokana na matumizi yake ya mafuta.
Kisha tukakuwezesha kufahamu gari la umeme linatumia umeme kiasi gani, full battery itakusafirisha umbali gani, na itakugharimu shilingi ngapi kuliendesha mwezi mzima.
Sasa, unaweza kufahamu jumla ya gharama za mafuta kwa miaka unayotarajia kulimiliki.
Pata yote haya bure kwa kutumia NJIIMNET sasa.
5.6.1 Jun 7
MAGARI YA UMEME (EVs)
Tulianza kwa kurahisisha kujua bei ya gari unalotaka kuendana na mwenendo wa soko ili kukusaidia kupata gari sahihi kwa bei sahihi.
Kisha tukakuwezesha kufahamu gharama za kuendesha gari kutokana na matumizi yake ya mafuta.
Sasa, unaweza kufahamu gari la umeme (EV) linatumia umeme kiasi gani kutembea kilomita moja, full battery itakusafirisha umbali gani (range), na itakugharimu shilingi ngapi kuliendesha mwezi mzima.
Pata yote haya bure kwa kutumia NJIIMNET sasa.
5.6.0 Jun 2

5.5.2 May 29
Toleo hili:
- Linaongeza taafira muhimu kuhusu bei za mafuta
- Linaboresha muonekano
- Linatua hitilafu na kuongeza ufanisi
Mwezi uliopita tulizindua namna rahisi ya kufahamu bei ya gari unalotaka kuendana na mwenendo wa soko, kulingana na mwaka na mileage, ili kukusaidia kupata gari sahihi kwa bei sahihi.
Jitihada hizi zinaendelea.
Injini mbalimbali hutofautiana kiwango cha ufanisi na utendaji kazi, hali inayosababisha tofauti katika kiwango cha matumizi ya mufuta.
Hivyo, ni muhimu kufahamu gari itakugharimu kiasi gani utapokuwa unaendesha. Haswa katika kipindi hiki ambacho bei zimekuwa pasua kichwa.
Sasa unaweza kuona gharama za kuendesha gari kulingana na matumizi ya mafuta kupitia NJIIMNET.
5.5.1 May 20
Mwezi uliopita tulizindua namna rahisi ya kufahamu bei ya gari unalotaka kuendana na mwenendo wa soko, kulingana na mwaka na mileage, ili kukusaidia kupata gari sahihi kwa bei sahihi.
Jitihada hizi zinaendelea.
Injini tofauti zina ufanisi na utendaji kazi tofauti. Hii inapelekea matumizi ya kiasi cha mafuta kuwa tofauti.
Hivyo, ni muhimu kufahamu gari itakugharimu kiasi gani utapokuwa unaendesha. Haswa katika kipindi hiki ambacho bei zimekuwa pasua kichwa.
Sasa unaweza kuona gharama za kuendesha gari kulingana na matumizi ya mafuta kupitia NJIIMNET.
5.5.0 May 17
Toleo hili:
- Linaleta uwezo wa kuthibitisha namba yako ya simu kirahisi
- Linaboresha mfumo na kuongeza ufanisi
Faidika zaidi:
MABALOZI
Tumia kuponi ya mabalozi unapotuma ombi lako na upate:
- Kipaumbele cha ombi lako ili wauzaji wanakuone kwanza
- Taarifa za bei zilizoboreshwa ili kukusaidia kuona bei kwa mwaka na mileage
TAARIFA ZA BEI SOKONI
Ukitumia NJIIMNET kupitia mabalozi wetu, unapata taarifa za kina za bei sokoni. Jinsi bei inavyobadilika kulingana na mwaka na kilomita.
5.4.11 May 14
Toleo hili:
- Linaoboresha chujio la tarehe ili kurahisha kuangalia wateja wako
- Linaboresha mfumo na kuongeza ufanisi
Faidika zaidi kwa kuwa sasa NJIIMNET ina:
MABALOZI WA NJIIMNET
Sasa unaweza kuagiza gari kupitia balozi, mtu unayemwamini ambaye tayari anatumia mfumo wetu. Tumia kuponi yake unapotuma ombi lako na upate:
- Kipaumbele cha ombi lako ili wauzaji wanakuone kwanza
- Taarifa za bei zilizoboreshwa ili kukusaidia kuona bei kwa mwaka na mileage
TAARIFA ZA BEI SOKONI
Ukitumia NJIIMNET kupitia mabalozi wetu, unapata taarifa za kina za bei sokoni. Jinsi bei inavyobadilika kwa mwaka na kulingana na kilomita. Pia unaweza kulinganisha, kwa mfano, Prado ya 2019 na 2021, au tofauti ya bei kati ya gari lenye kilomita 40,000 na 90,000. Unapata yote haya bure ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi na kununua gari linalokufaa.
Ahsanteni kwa maoni yenu. Tuendelee kuinua Afrika yetu pamoja.
5.4.10 May 11
Toleo hili:
- Linaongeza chujio la tarehe ili kurahisha kuangalia wateja wako

5.4.9 May 5
Toleo hili:
- Linaboresha mapendekezo ya bajeti za gari

5.4.8 Apr 28
Toleo hili:
- Linatatua hitilafu zilizowasilishwa

5.4.7 Apr 26
Toleo hili:
- Linaongeza taarifa za muhimu kwa wauzaji
- Linaongeza alama ya kupakia wakati wa kuchuja wateja wako
- Linatatua hitilafu na kuongeza ufanisi

5.4.6 Apr 19
Toleo hili:
- Linaongeza taarifa za muhimu kwa wauzaji
- Linaboresha ufungaji wa dili

5.4.5 Apr 13
Toleo hili:
- Linaongeza chujio la wateja kwa aina ya wateja na status ya dili
- Linatafsiri uchanganuzi wa bei za sokoni
- Linatatua hitilafu na kuongeza ufanisi
Faidika zaidi kwa kuwa sasa NJIIMNET ina:
MABALOZI WA NJIIMNET
Sasa unaweza kuagiza gari kupitia balozi, mtu unayemwamini ambaye tayari anatumia mfumo wetu. Tumia kuponi yake unapotuma ombi lako na upate:
• Kipaumbele cha ombi lako ili wauzaji wanakuone kwanza
• Taarifa za bei zilizoboreshwa ili kukusaidia kuona bei kwa mwaka na mileage
TAARIFA ZA SOKO ZA KINA
Ukitumia NJIIMNET kupitia mabalozi wetu, unapata taarifa za kina za bei sokoni. Jinsi bei inavyobadilika kwa mwaka na kulingana na kilomita. Pia unaweza kulinganisha, kwa mfano, Prado ya 2019 na 2021, au tofauti ya bei kati ya gari lenye kilomita 40,000 na 90,000. Unapata yote haya bure ili kukusaidia kufanya maamuzi sahihi na kununua gari linalokufaa.
Ahsanteni kwa maoni yenu. Tuendelee kuinua Afrika yetu pamoja.
5.4.4 Apr 8
Toleo hili:
- Linaongeza taarifa za muhimu kwa wauzaji
- LInaboresha muonekano

5.4.3 Apr 2
Toleo hili:
- Linaongeza taarifa za muhimu kwa mabalozi

5.4.2 Apr 2
Toleo hili jipya linaleta:

5.4.1 Mar 28

5.4.0 Mar 27
Toleo hili:
- Linaboresha mchakato wa kupata uthibitisho wa biashara kwa wauzaji na waagizaji.
- Linaboresha muonekano wa app.
- Linaboresha utendaji kazi wa mfumo.
5.3.3 Mar 18
Toleo hili linatatua hitilafu inayozuwia app kufunguka. Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza.
5.3.2 Mar 16
Toleo hili linaboresha mfumo kuwa janja zaidi kukusaidia wakati wa kuagiza gari.
Kupitia mfumo mpya:
- Unaweza kujua thamani za magari sokoni kabla ya kutuma ombi kwa waagizaji/wauzaji
- Unaweza kupata msaada wa maelekezo ya bajeti kijanja zaidi
- Unaepuka kuuziwa gari kwa bei kubwa zaidi ya thamani inayostahili
Ahsanteni kwa maoni yenu. Tuendelee kuinua Afrika yetu pamoja.
5.3.1 Mar 11

5.3.0 Mar 10
Toleo hili:
- Linakuwezesha kuona maombi uliyotuma hivi karibuni
- Linaongeza sehemu mbili za ofa na mawasiliano kwenye maombi yako
- Linakuwezesha kutoa tathmini na maoni yako kuhusu muuzaji/muagizaji
- Linaboresha muonekano
- Linatatua hitilafu zilizowasilishwa
5.2.0 Feb 21
Shukran kwa maoni yenu. Tuendelee kuinua Afrika yetu pamoja hatua kwa hatua.
Toleo hili:
- Linarahisisha zaidi mchakato wa kupata wateja
- Linasaidia wanaohitaji kununua magari ya bei chee zaidi
- Linatatua hitilafu zilizowasilishwa
- Linaboresha utendaji kazi wa mfumo
- Linaboresha muonekano
5.1.0 Feb 7
Tunajali mazingira. Tunajali kizazi cha kesho.
Kila tunachofanya NJIIMNET, tunaamini katika kuinua Afrika yetu. Kwa kukusaidia kujua ni brand gani zina magari ya umeme na hybrid, tunachangia katika kutunza na kuhifadhi mazingira yetu kwa pamoja.
more Version 5.6.3 Jun 27
Data Linked to You The following data may be collected and linked to your identity: