NJIIMNET

Compras

Sólo para iPhone

Gratis · Diseñada para iPhone

iPhone

Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengezea njia rahisi na bora zaidi. Fikiria mfumo unaokupa uwezo wa ku-: - Uza haraka - Ongeza faida yako - Furahia uwazi wa 100% - Pata muda zaidi wa bure NJIIMNET inakusaidia kuagiza gari kirahisi na kukupa nguvu katika mapatano ya bei. - Weka bajeti yako. - Pokea ofa za waagazaji mbali mbali. - Linganisha bei kirahisi. - Kubali au kataa ofa. - Pata nguvu zaidi katika maelewano ya bei. - Chagua ofa inayokidhi vigezo vyako. - Ni BURE kabisa—hauhitaji kutumia pesa wala kufanya mawasiliano marefu. NJIIMNET inakuunganisha moja kwa moja na wanunuzi, wauzaji, na waagizaji wa magari, huku ikihakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.

  • Esta app no ha recibido suficientes calificaciones ni reseñas para mostrar un resumen.

Ahsanteni kwa maoni yenu. Tuendelee kuinua Afrika yetu. Toleo hili: - Linarahisisha mchakato wa kutangaza gari - Linaboresha muonekano wa matangazo ya gari - Linaboresha muonekano wa picha za gari - Linaboresha muonekano wa orodha ya magari yangu - Linaboresha mchakato wa kuhariri taarifa za gari - Linatatua hitilafu zilizowasilishwa

El desarrollador (Ali Suleiman) indicó que las prácticas de privacidad de la app pueden incluir el manejo de datos que se describe a continuación. Para obtener más detalles, consulta la política de privacidad del desarrollador .

  • Datos asociados con tu identidad

    Los siguientes datos pueden recopilarse y asociarse con tu identidad:

    • Información de contacto
    • Identificado­res

Las prácticas de privacidad pueden cambiar; por ejemplo, según tu edad o las funciones que uses. Obtén detalles

El desarrollador aún no ha indicado cuáles funciones de accesibilidad admite esta app. Obtén detalles

  • Vendedor
    • Ali Suleiman
  • Tamaño
    • 53.7 MB
  • Categoría
    • Compras
  • Compatibilidad
    Requiere iOS 15 o posterior.
    • iPhone
      Requiere iOS 15 o posterior.
    • iPod touch
      Requiere iOS 15 o posterior.
    • Mac
      Requiere macOS 12.0 o posterior y una Mac con el chip M1 de Apple o posterior.
  • Idiomas
    • Inglés
  • Edad
    4+
  • Copyright
    • © 2024 Olorok Tech