Momoa

Digital Wakala

Free · Designed for iPad

Momoa ni app inayomuwezesha wakala kutunza taarifa za miamala yake. Badala ya kurekodi miamala kwenye karatasi au kutorekodi, sasa wakala ataweza kutunza taarifa hizo kwenye simu. Kupitia app ya Momoa: Wakala anaweza kurekodi miamala ya kuweka pesa (Ambapo anakua kapokea cash) Wakala anaweza kurekodi miamala ya kutoa pesa (ambapo wakala ametoa cash na kumpatia mteja) Wakala anaweza kurekodi muamala kama ni deni (madeni ni pale mteja hajachukua hela yake au wakala hajapewa hela yake na mteja) Wakala anaweza kurekodi muamala kwa kumuainisha mteja kwa jina au namba ya simu Wakala atakua anaweza kuthibitisha hesabu zake wakati anavoanza siku na wakati anapofunga kwa urahisi, na kuweza kuona kama hesabu zimebalance au laa. Wakala anaweza kuangalia historia au ripoti ya nyuma ya miamala yote, hesabu alivoanza na alivofunga siku. Wakala anaweza kuedit float au Cash. Hii ni kusaidia kama karushiwa float na wakala mwenzake au kafanya muamala kwa njia ya bank. Wakala anaweza kuongeza mtandao au bank kwa kadri ya awezavyo, na atatakiwa kujaza float iliyopo katika kila mtandao. Tunawapenda mawakala na tuna matumaini Momoa itawasaidia kuzikuza biashara zao na kufanya usimamiaji uwe mwepesi, rahisi na haraka. Karibu Momoa. Kama unakitu unatamani tuboreshe au kuongeza tunaomba uwasiliane na sisi kupitia namba +255 682 411 725 (call or whatsapp)

  • This app hasn’t received enough ratings or reviews to display an overview.

Bug fix

The developer, erick Justin Nyaluke, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy .

  • Data Not Collected

    The developer does not collect any data from this app.

    Privacy practices may vary, for example, based on the features you use or your age. Learn More

    The developer has not yet indicated which accessibility features this app supports. Learn More

    • Seller
      • erick Justin Nyaluke
    • Size
      • 241.1 MB
    • Category
      • Business
    • Compatibility
      Requires iOS 12.0 or later.
      • iPhone
        Requires iOS 12.0 or later.
      • iPad
        Requires iPadOS 12.0 or later.
      • iPod touch
        Requires iOS 12.0 or later.
      • Mac
        Requires macOS 11.0 or later and a Mac with Apple M1 chip or later.
      • Apple Vision
        Requires visionOS 1.0 or later.
    • Languages
      • English
    • Age Rating
      4+
    • Copyright
      • © Kuza Business