TanzMED - Afya Kiganjani

Afya kwa njia ya Mtandao

Free · Designed for iPad

Pata ushauri wa madaktari, tathmini ya afya kwa AI, afya ya akili, hedhi na ujauzito - yote ndani ya app moja. Inapatikana kwa Kiswahili na Kiingereza. Pakua TanzMED sasa TanzMED – Afya Rahisi, Popote Ulipo TanzMED ni jukwaa la kidijitali la afya linalounganisha madaktari, hospitali, maduka ya bidhaa za Afya na urembo, maabara, huduma za afya nyumbani, na zana za afya zinazotumia AI ndani ya programu moja salama. TanzMED imeundwa kwa ajili ya Afrika Mashariki ili kufanya huduma bora za afya zipatikane kwa urahisi, gharama nafuu, na kwa wakati wowote. Afya yako. Programu moja. --> Ushauri wa Daktari Mtandaoni Wasiliana na madaktari na wataalamu wa afya waliothibitishwa kupitia mazungumzo ya video za papo kwa hapo (Instant) au kwa miadi (Appointment). Pata ushauri wa kitaalamu, ufuatiliaji wa afya, na rufaa bila kwenda popote ulipo. :::: Huduma za Afya Nyumbani :::: Weka miadi ya wauguzi, madaktari, au walezi kwa huduma salama na za kitaalamu ukiwa nyumbani au ofisini, ikijumuisha ufuatiliaji wa afya na huduma za matibabu. :::: Afya ya Akili :::: Pata msaada wa afya ya akili kupitia mazungumzo ya siri na wataalamu. Tumia zana na huduma za usaidizi zinazolenga kuboresha ustawi wa kihisia na kisaikolojia. :::: Tathmini ya Afya kwa Kutumia AI :::: Eleza dalili zako na upate tathmini ya awali inayotumia teknolojia ya AI ili kukusaidia kuelewa hali yako na hatua inayofuata ya kuchukua. :::: Afya ya Mama na Mtoto :::: Fuatilia maendeleo ya ujauzito, ratiba za chanjo, ukuaji wa mtoto, na upate ushauri wa wataalamu wa afya ya mama na mtoto. :::: Afya ya Mwanamke :::: Dhibiti mzunguko wa hedhi, uzazi, na afya ya uzazi. Pata msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ya wanawake kupitia programu. :::: Jamii ya Afya (Kijiwe cha Afya) :::: Uliza maswali ya afya, shiriki katika mijadala, fuatilia mada za wataalamu wa afya, na jifunze kutoka kwa jamii inayojali afya. Ushiriki wa faragha unapatikana pale inapohitajika. :::: Dawa na Vipimo vya Maabara :::: Agiza bidhaa za Afya mtandaoni, weka miadi ya vipimo vya maabara, na pata huduma kutoka kwa maduka ya dawa na maabara zilizo karibu nawe. :::: Elimu na Makala za Afya :::: Soma makala za afya zilizoandikwa na kuthibitishwa na wataalamu, zinazojadili magonjwa ya kawaida, kinga, mtindo bora wa maisha, na ustawi wa afya kwa ujumla. :::: Miadi ya Hospitali na Wataalamu :::: Pata urahisi wa kuweka miadi na hospitali, maabara, na madaktari bingwa kupitia programu ya TanzMED. Imejengwa kwa Uaminifu na Usalama TanzMED imeundwa kwa kuzingatia usalama wa taarifa binafsi, faragha, na urahisi wa matumizi. Programu inapatikana kwa Kiswahili na Kiingereza ili kuwafikia watumiaji wengi zaidi Afrika Mashariki. :::: Kanusho la Kitabibu :::: TanzMED haitoi utambuzi rasmi wa magonjwa na haichukui nafasi ya ushauri au huduma za kitaalamu kutoka kwa mtaalamu wa afya. Kwa dharura za kiafya, tafadhali wasiliana na huduma za afya za karibu mara moja.

  • 5.0
    out of 5
    2 Ratings

:::: Mpya:::: - Uwezo wa kuona taaluma ya mtaalamu kwenye majadiliano - Kwenye profile ya mtumiaji sasa unaweza kuona vitu vyote ulivyofanya TanzMED - Chat imeondolewa kwenye App, sasa unaweza kutumia Amina kwa ajili ya Chat :::: Maboresho :::: - Kasi ya eneo la kuandika imeboreshwa kwa matumizi ya haraka bila kustaki. - Mada ya kwanza kwenye kijiwe sasa inaonekana vyema, tumeondoa ugray. - Maeneo ya majadiliano yameboreshwa kwa kuunganisha majibu sehemu moja ili kundoa mrundikano wa makala. - Majibu sasa yanapangwa kulingana na mapokeo kwa wateja (idadi ya likes and replies). - Kubofya notifications sasa kunakupeleka moja kwa moja kwenye mjadala husika - Sasa utapokea notification moja tuu kwa Reply na Quote - Maboresho madogo ya Kimfumo na kiusalama

The developer, Africa Healthtech Limited, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy .

  • Data Linked to You

    The following data may be collected and linked to your identity:

    • Health & Fitness
    • Financial Info
    • Location
    • Contact Info
    • User Content
    • Sensitive Info
  • Data Not Linked to You

    The following data may be collected but it is not linked to your identity:

    • Purchases
    • Search History
    • Identifiers
    • Diagnostics

Privacy practices may vary, for example, based on the features you use or your age. Learn More

The developer has not yet indicated which accessibility features this app supports. Learn More

  • Seller
    • AFRICA HEALTHTECH LIMITED
  • Size
    • 146 MB
  • Category
    • Health & Fitness
  • Compatibility
    Requires iOS 12.0 or later.
    • iPhone
      Requires iOS 12.0 or later.
    • iPad
      Requires iPadOS 12.0 or later.
    • iPod touch
      Requires iOS 12.0 or later.
    • Mac
      Requires macOS 11.0 or later and a Mac with Apple M1 chip or later.
    • Apple Vision
      Requires visionOS 1.0 or later.
  • Languages
    • English
  • Age Rating
    18+
    • 18+
    • Infrequent
      Medical Treatment information
      Alcohol, Tobacco, Drug Use or References
  • Copyright
    • © Africa Healthtech LTD