NSSF App

One account, all services.

Free · Designed for iPad. Not verified for macOS.

Use a single NSSF app for Bridge toll and vehicles, Member contributions and claims, and Pensioner verification—all with a simple, secure sign-in. Mfumo wa "NSSF TAARIFA" umebuniwa mahususi kwa ajili ya wanachama. Mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake kwa urahisi. Kupitia mfumo huu, mwanachama anaweza kufanya yafuatayo: a) Kuangalia Taarifa za Usajili wake (Member Profile): - Kupata taarifa binafsi za usajili. b) Kuangalia Taarifa za Michango: - Kupata taarifa zote za michango iliyowasilishwa na kampuni katika Shirika. - Kupata taarifa za michango iliyowasilishwa na wanachama wa hiari. c) Kupata Taarifa za Michango (Statements): - Kupata taarifa kamili za michango iliyowasilishwa. d) Uhakiki wa Wastaafu: - Kuona taarifa za mstaafu. - Uhakiki Mfumo huu unalenga kuwezesha mwanachama kuwa na ufahamu zaidi kuhusu michango yake na kusaidia katika kupanga mipango ya kifedha kwa ufanisi.

  • 5.0
    out of 5
    1 Ratings

We made improvements and squashed bugs so your NSSF experience is even better.

The developer, National Social Security Fund (TZ), indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy .

  • Data Not Collected

    The developer does not collect any data from this app.

    Privacy practices may vary, for example, based on the features you use or your age. Learn More

    The developer has not yet indicated which accessibility features this app supports. Learn More

    Seller
    • National Social Security Fund (TZ)
    Size
    • 194.8 MB
    Category
    • Finance
    Compatibility
    Requires iOS 16.6 or later.
    • iPhone
      Requires iOS 16.6 or later.
    • iPad
      Requires iPadOS 16.6 or later.
    • Mac
      Requires macOS 13.5 or later and a Mac with Apple M1 chip or later.
    • Apple Vision
      Requires visionOS 1.0 or later.
    Languages
    • English
    Age Rating
    4+
    Copyright
    • © 2025 NSSF