TanzMED - Afya Kiganjani

Afya kwa njia ya Mtandao

Free · Designed for iPad. Not verified for macOS.

Pata ushauri wa madaktari, tathmini ya afya kwa AI, afya ya akili, hedhi na ujauzito - yote ndani ya app moja. Inapatikana kwa Kiswahili na Kiingereza. Pakua TanzMED sasa TanzMED – Afya Rahisi, Popote Ulipo TanzMED ni jukwaa la kidijitali la afya linalounganisha madaktari, hospitali, maduka ya bidhaa za Afya na urembo, maabara, huduma za afya nyumbani, na zana za afya zinazotumia AI ndani ya programu moja salama. TanzMED imeundwa kwa ajili ya Afrika Mashariki ili kufanya huduma bora za afya zipatikane kwa urahisi, gharama nafuu, na kwa wakati wowote. Afya yako. Programu moja. --> Ushauri wa Daktari Mtandaoni Wasiliana na madaktari na wataalamu wa afya waliothibitishwa kupitia mazungumzo ya video za papo kwa hapo (Instant) au kwa miadi (Appointment). Pata ushauri wa kitaalamu, ufuatiliaji wa afya, na rufaa bila kwenda popote ulipo. :::: Huduma za Afya Nyumbani :::: Weka miadi ya wauguzi, madaktari, au walezi kwa huduma salama na za kitaalamu ukiwa nyumbani au ofisini, ikijumuisha ufuatiliaji wa afya na huduma za matibabu. :::: Afya ya Akili :::: Pata msaada wa afya ya akili kupitia mazungumzo ya siri na wataalamu. Tumia zana na huduma za usaidizi zinazolenga kuboresha ustawi wa kihisia na kisaikolojia. :::: Tathmini ya Afya kwa Kutumia AI :::: Eleza dalili zako na upate tathmini ya awali inayotumia teknolojia ya AI ili kukusaidia kuelewa hali yako na hatua inayofuata ya kuchukua. :::: Afya ya Mama na Mtoto :::: Fuatilia maendeleo ya ujauzito, ratiba za chanjo, ukuaji wa mtoto, na upate ushauri wa wataalamu wa afya ya mama na mtoto. :::: Afya ya Mwanamke :::: Dhibiti mzunguko wa hedhi, uzazi, na afya ya uzazi. Pata msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ya wanawake kupitia programu. :::: Jamii ya Afya (Kijiwe cha Afya) :::: Uliza maswali ya afya, shiriki katika mijadala, fuatilia mada za wataalamu wa afya, na jifunze kutoka kwa jamii inayojali afya. Ushiriki wa faragha unapatikana pale inapohitajika. :::: Dawa na Vipimo vya Maabara :::: Agiza bidhaa za Afya mtandaoni, weka miadi ya vipimo vya maabara, na pata huduma kutoka kwa maduka ya dawa na maabara zilizo karibu nawe. :::: Elimu na Makala za Afya :::: Soma makala za afya zilizoandikwa na kuthibitishwa na wataalamu, zinazojadili magonjwa ya kawaida, kinga, mtindo bora wa maisha, na ustawi wa afya kwa ujumla. :::: Miadi ya Hospitali na Wataalamu :::: Pata urahisi wa kuweka miadi na hospitali, maabara, na madaktari bingwa kupitia programu ya TanzMED. Imejengwa kwa Uaminifu na Usalama TanzMED imeundwa kwa kuzingatia usalama wa taarifa binafsi, faragha, na urahisi wa matumizi. Programu inapatikana kwa Kiswahili na Kiingereza ili kuwafikia watumiaji wengi zaidi Afrika Mashariki. :::: Kanusho la Kitabibu :::: TanzMED haitoi utambuzi rasmi wa magonjwa na haichukui nafasi ya ushauri au huduma za kitaalamu kutoka kwa mtaalamu wa afya. Kwa dharura za kiafya, tafadhali wasiliana na huduma za afya za karibu mara moja.

  • 5.0
    out of 5
    2 Ratings

- Tumeboresha muonekano wa App nzima - Sasa App imebadilika kutoka kurasa za menu kuwa lango linalokuelewa zaidi - Ukurasa wa home utaendana na malengo yaks kiafya, kuna version mbili za home (light & full) - Kurasa mpya wa kujua małengo ya kutumia TanzMED ili kupewa huduma zinazoendana nawe - Sasa hauhitaji password tena kuingia, namba ya simu pekee inatosha - Sasa bidhaa na huduma zitaendana na taarifa sako za Afya - Mada zote Kijiweni zinaonekana Sehemu moja - Hedhi imekuwa mpya kabisa, sasa unaweza kuweka matukio, kupata repoti ya hedhi, - Afya akili imeongezwa utamu, rekodi ya mood imekuwa nzuri, tathimini ya Asya ya akili, mafundisho kwa njia ya video (iCBT) na mukhtasari wa Afya ya akili kwa njia ya AI. - Duka la bidhaa za Afya sasa linaendana na uhitaji wako, pia unaweza kununua bando za bidhaa kwa pamoja. - Kurasa ya ushauri imepewa jicho jipya zaidi -Mabadiliko mengine mengi ya kumaboresho

The developer, Africa Healthtech Limited, indicated that the app’s privacy practices may include handling of data as described below. For more information, see the developer’s privacy policy .

  • Data Linked to You

    The following data may be collected and linked to your identity:

    • Health & Fitness
    • Financial Info
    • Location
    • Contact Info
    • User Content
    • Sensitive Info
  • Data Not Linked to You

    The following data may be collected but it is not linked to your identity:

    • Purchases
    • Search History
    • Identifiers
    • Diagnostics

Privacy practices may vary, for example, based on the features you use or your age. Learn More

The developer has not yet indicated which accessibility features this app supports. Learn More

Seller
  • AFRICA HEALTHTECH LIMITED
Size
  • 234.3 MB
Category
  • Health & Fitness
Compatibility
Requires iOS 12.0 or later.
  • iPhone
    Requires iOS 12.0 or later.
  • iPad
    Requires iPadOS 12.0 or later.
  • iPod touch
    Requires iOS 12.0 or later.
  • Mac
    Requires macOS 11.0 or later and a Mac with Apple M1 chip or later.
  • Apple Vision
    Requires visionOS 1.0 or later.
Languages
  • English
Age Rating
18+
  • 18+
  • Frequent
    Medical Treatment information

    Contains
    User-Generated Content
    Health or Wellness Topics
Copyright
  • © Africa Healthtech LTD