Tunzaa Plus

Compras

Sólo para iPhone

Gratis · Diseñada para iPhone

iPhone

Jiunge na Tunzaa+ uweze kufikia mtandao wa wanunuzi ambao hutumia pesa kila siku kununua bidhaa na huduma moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara kama wewe. Ongeza mauzo kwa kuwapa wateja wako uwezo wa kununua kile wanachokihitaji kwa kulipia kwa awamu hadi watimize malipo yao. ONGEZA THAMANI Rahisi & salama. Malipo yanatumwa kwako mfanyabiashara na hakuna malipo ya ziada ya kila mwezi. KUZA BIASHARA Ongeza mauzo yako kwa kufikia mtandao wa wanunuzi ambao wanafurahia kufanya manunuzi kutimiza malengo na mipango yao. ORODHESHA BIASHARA YAKO BURE Orodhesha bidhaa na huduma zako zote bure - utalipa ada tu ikiwa utauza kupitia Tunzaa. UDHIBITI Kupitia Tunzaa unaweza kufatilia oda za wateja wako, bei na kuweka bidhaa mpya kila upendavyo. USALAMA WA MALIPO Tunzaa inakuhakikishia usalama wa malipo kutoka kwa wateja wako. USAIDIZI NA USHAURI Tumejitolea kusaidia washirika wote wa biashara kufanikiwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi na msaada wa jinsi ya kufaidika na Tunzaa.

  • Esta app no ha recibido suficientes calificaciones ni reseñas para mostrar un resumen.

Tunayo furaha kubwa kutangaza toleo jipya la programu ya Tunzaa Plus, lililoboreshwa ili kukupa uzoefu bora zaidi. Hivi ndivyo unavyoweza kutarajia: A. MABORESHO 1. Uboreshaji wa uthibitisho 2. Uboreshaji wa utendaji B. MAREKEBISHO YA HITILAFU 1. Hitilafu za kupakia bid Tunajitahidi kufanya Tunzaa Plus kuwa bora zaidi, na maoni yako ni muhimu sana kwetu. Furahia vipengele na maboresho haya mapya.

El desarrollador (Tunzaa Fintech Inc.) indicó que las prácticas de privacidad de la app pueden incluir el manejo de datos que se describe a continuación. Para obtener más detalles, consulta la política de privacidad del desarrollador .

  • Datos asociados con tu identidad

    Los siguientes datos pueden recopilarse y asociarse con tu identidad:

    • Información de contacto

Las prácticas de privacidad pueden cambiar; por ejemplo, según tu edad o las funciones que uses. Obtén detalles

El desarrollador aún no ha indicado cuáles funciones de accesibilidad admite esta app. Obtén detalles

  • Vendedor
    • Tunzaa Fintech Inc.
  • Tamaño
    • 23.5 MB
  • Categoría
    • Compras
  • Compatibilidad
    Requiere iOS 12.0 o posterior.
    • iPhone
      Requiere iOS 12.0 o posterior.
    • iPod touch
      Requiere iOS 12.0 o posterior.
    • Mac
      Requiere macOS 11.0 o posterior y una Mac con el chip M1 de Apple o posterior.
    • Apple Vision
      Requiere visionOS 1.0 o posterior.
  • Idiomas
    • Inglés
  • Edad
    4+
  • Copyright
    • © Tunzaa Fintech Inc.